Picha Kwa Hisani.
Baada ya tuzo kubwa Ulimwenguni za Grammy kutolewa usiku wa kuamkia Jumatatu, Aprili 4, 2022, jijini Los Angeles nchini Marekani, wasanii wawili tu kutoka Afrika walishinda tuzo hiyo ambao ni Angelique Kidjo kutoka Benin na Black Coffee kutoka Afrika Kusini.
Ingawa watu wengi walitarajia Wizkid apata mmoja ya tuzo kati ya album bora kupitia album yake ya Made in Lagos au kupitia kipengele cha Best Global Music Perfomance kupitia wimbo wake wa Essence.
Picha Kwa Hisani.
Hali ilienda tufauti baada ya katika kipengele cha Best Global Music album kushinda Mwanamama huyo kutoka Benin ameibuka mshindi wa kipengele hicho kupitia album yake ya Mother Nature’
Pia kupitia kipengele cha Best Global Music Performance, ambacho Essence ya @wizkidayo iliingia katika kinyang’anyiro hicho, imebebwa na Arooj Aftab ambaye ni raia wa Pakistani, ikiwa ni tuzo yake ya kwanza ya Grammy.
Picha Kwa Hisani.
Mapema hii leo, Wizkid kupitia Insta story yake aliamua kuwapongeza wote walioshinda tuzo kwa kuandika kuwa.