Picha Kwa Hisani –
Waziri wa kilimo nchini Peter Munya ameilaumu idara ya mahakama kwa kuchelewesha kesi zinazowasilishwa mahakamani.
Akizungumza katika afisi za uvuvi kule Malindi Munya amesema maeneo mengi ya uvuvi nchini yamenyakuliwa na mabwenyenye na kesi zilizowasilishwa mahakamani zimechukua mda mrefu kuamuliwa.
Munya amesema kuwa ripoti ya BBI inapaswa kuangazia idara ya mahakama na kuhakikisha idara hio inasalia idara huru.