Picha kwa hisani –
Chama cha kutetea maslahi ya wafanyikazi wa mahoteli ya kitalii nchini KUDHEA kimewataka wamiliki wa mahoteli kutowahangaisha wafanyikazi wao na malipo hasa wale waliorejea kazini wakati huu wa janga la corona.
Afisa wa chama hicho Colonel Ounda amesema kufuatia hali ngumu ya maisha inazowakabili wananchi kwa sasa kutokana na ongezeko la maambukizi haitakuwa mwafaka kwa wafanyikazi hao kupokea malipo nusu ama kusalia bila malipo.
Kauli hio inajiri huku gavana wa kwale salim mvurya akiitaka wizara ya afya kwale kuhakikisha hoteli zote eneo la pwani kusini zinapulizwa dawa za kuuwa viini