Picha kwa hisani
Wakaazi wa Pwani wametahadharishwa dhidi ya kwenda kwenye fuo za bahari baada ya mtetemeko wa ardhi kushuhudiwa katika maeneo tofauti nchini.
Kulingana na taarifa kutoka kwa kitengo cha utabiri wa hali ya anga nchini KMD, mtetemeo huo umeshuhudiwa katika maeneo ya Naivasha, Nakuru, Makueni, Kiambu na Nyeri.
Eneo la Wundanyi mtetemeko huo ulikuwa na kipimo cha 4.8 na kina cha kilomita 9.8
Taarifa na Dominick Mwambui.