Vita kati ya Vera Sidika na Otile Brown vimeendelea kwa raundi nyingine tena huku Vera akifichua mazito kumhusu Otile.
Kwenye picha alizoweka kwenye Instagram Story yake, Verah amefichua kuwa Otile hajui kutosheleza mwanamke na alikuwa akimwacha bila kumtosheleza kila waliposhiriki tendo la ndoa.
Verah alikuwa anajibu shtuma kuwa yeye hupendelea sana kula uroda, alipotupa gruneti hiyo kwa Otile.
Verah na Otile waliwahi kuwa katika penzi lilovunjika hivi majuzi baada ya Otile kumkopa Ksh 500,000
Taarifa na Dominick Mwambui.