Uhondo Catch the latest entertainment & word around town on your favorite Radio Station Cannibal aweka mambo wazi Ralph Sandal Masai maarufu kama Cannibal amekanusha madai kuwa aliokoka ili kusaka pesa katika soko la mziki wa injili. Akothee amsaidia Nyota Ndogo kupata wapangaji Msanii Nyota Ndogo amefichua kuwa Akothee amempa msaada mkubwa katika kutafuta wapangaji wa nyumba zake za kukodi. Picha: Safari ya mwisho ya Exale Kwa nini Mzee Majuto alipenda Kenya Kifo cha msanii Amiri Athuman maarufu kama Mzee Majuto kimewaacha wengi na majonzi yasiyokuwa na kipimo. Familia ya marehemu Ahmed Darwesh yavamiwa Mjane wa mtangazaji Ahmed Darwesh, Hawa Hussein aliponea chupuchupu pale majambazi walipomvamia nyumbani kwake Kitengela, Jijini Nairobi. Mtangazaji wa Radio Kaya atuzwa kwa kutunza utamaduni Mtangazaji wa kituo cha radio cha Radio Kaya Beatrice Dama Kahindi ametunukiwa tuzo ya "Balozi wa Amani na Utamaduni" na muungano wa utamaduni wa wilaya ya Malindi (MADCA). Nyota Ndogo afanya video Copen Hagen Msanii Nyota Ndogo amekuwa kimya kwa muda mrefu katika tasnia ya mziki humu nchini lakini kama wasemavyo kimya Kingi kina mshindo. Susumila achoshwa na nchi yake Msanii Susumila amekiri kuchoshwa na taifa lake, Kenya kufuatia ufisadi uliokithiri kwa sasa. Nilianza kwa kucheza "firimbi"- Mzee Ngala Siku zote wanasema mwanzo wa kitu ndio mgumu zaidi. Nayo safari ya mziki yaJosepg Ngala maarufu kama Mzee Ngala Mwenyewe haikuwa rahisi kama wengi wanavyodhania. Mama apata Kipande cha nyama kilicho na maandishi ya Quran Kwale Familia moja katika mtaa wa Kwa Karanja mjini Kwale imepigwa na butwaa baada ya kupata kipande cha nyama kilicho na maandishi ya Quran. Aliyejigamba kwa unajisi atiwa mbaroni Mwanamume aliyetanda katika mitandao ya kijamii kwa kusambaza picha za wasichana wadogo akijigamba kuwanajisi hatimaye amekamatwa. PICHA: JOHO AKUTANA NA MOI Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho mapema leo amekutana na rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi nyumbani kwake Kabarak, Nakuru. AKOTHEE KUACHA MZIKI Msanii Esther Akoth maarufu kama Akothee ameweka bayana kuwa atawacha mziki kwa muda. Video: Kaa la moto msafiri https://www.youtube.com/watch?v=SEpWcGF3iLo Mume auma mdomo wa mkewe Picha / kwa hisani. Polisi katika eneo la kisauni wanamtafuta mwanamume mmoja aliyemuuma na kumkata mdomo mkewe. Shetani!! Bawazir awacha wengi kinywa wazi Msanii Bawazir amewaacha wengi na alama a mshango baada ya kuachilia video ya wimbo Yebaye. Nyota Ndogo atafuta wachezaji ala za mziki Chipukizi Msanii tajika Nyota Ndogo ametangaza rasmi kuwa anatafuta wachezaji vyombo chipukizi. Kulingana na msanii huyo anatafuta wasanii watatu. Studio mashinani yatafuta producer Mradi wa studio mashinani ulioanzishwa kwa madhumuni ya kuwasaidia wasani kutoka kanda ya Pwani unatafuta watayarishaji wa mziki. Ally B aendeleza vikao vya amani Mombasa Ali Khamis maarufu kama Ally-B amewasihi Vijana wa Kaunti ya Mombasa kujitenga na magenge ya kihalifu. Mastar Kimbo atumia kipaji kuhamasisha jamii kuhusu HIV Mastar Kimbo sio mgeni kwa wengi, ni msanii anayejulikana kwa mziki aina ya Rap. Wanaoendelea kuonyesha filamu ya Rafiki kuchukuliwa hatua za kisheria Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya filamu nchini Ezekiel Mutua amewaonya watakaoendelea kuonyesha filamu ya Rafiki iliyopigwa marufuku na bodi hiyo kuwa watakabiliwa kisheria. Nyota Ndogo amshauri mwanawe kutumia kondomu Msanii Nyota Ndogo sio mgeni katika kusema ukweli wa jinsi ulivyo. Katika hulka yake hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram amempa msomo mwanawe wa kiume kwa jina Mbaruk. Dogo Richie aachia nyimbo mpya Kwa mara nyingine tena msanii Dogo Richie amedondosha kibao kipya. Katika wimbo huu Richie anamlenga mtu aliyeolewa na anamwahidi kuwa hawatotengana milele. Sina tatizo na Lava Lava - Dogo Richie Msanii Dogo Richie amesema kuwa hana tatizo na wimbo wa Lava Lava ambao umeonekena kuiga wimbo wake. Bado wasanii wa kike hudhulumiwa afichua muigizaji Muigizaji Aisha Said maarufu kwa jina Maya kwenye mchezo wa kuigiza wa Maza amefichua kuwa dhulma ya kimapenzi kwa wasanii wa kike inaendelezwa humu nchini. Show ya Lava Lava kuendelea licha ya Bidi Badu kuchomeka Mashabiki wa msanii kutoka label ya Wasafi wamekuwa na wasi wasi kuwa tamasha lake lisingefanyika baada ya mkahawa wa Bidi Badu kuchomoka. Kelechi Africana aachilia wataisoma Namba Msanii Kelechi Africana amevunja kimya chake kwa kuachilia kibao kipywa kwa jina Wataisoma Namba. Ilianza na Dogo Richie, Lavalava na sasa ni Masauti Wakati Lava L ava alipoachilia kibao kwa jina Go Gaga wengi walisema kuwa aliiba wazo kutoka kwa msanii Dogo Richie aliyetangulia kuachia wimbo kwa jina hilo. IMEFICHUKA ! Susumila kufanya kolabo na Mwana FA Msanii Yusuf Kombo maarufu kama Susumila anapanga kuachilia kolabo mpya na Mwana FA. Alichofanya Wema sio kitu kizuri - Dogo Richie Msanii Dogo Richie amefunguka kuhusu picha chafu zilizovujishwa mtandaoni za Wema Sepetu. Richie amesema kuwa kitendo hicho kinaonekana kuwa kama ambaye kilipangwa.
Cannibal aweka mambo wazi Ralph Sandal Masai maarufu kama Cannibal amekanusha madai kuwa aliokoka ili kusaka pesa katika soko la mziki wa injili. Akothee amsaidia Nyota Ndogo kupata wapangaji Msanii Nyota Ndogo amefichua kuwa Akothee amempa msaada mkubwa katika kutafuta wapangaji wa nyumba zake za kukodi. Picha: Safari ya mwisho ya Exale Kwa nini Mzee Majuto alipenda Kenya Kifo cha msanii Amiri Athuman maarufu kama Mzee Majuto kimewaacha wengi na majonzi yasiyokuwa na kipimo. Familia ya marehemu Ahmed Darwesh yavamiwa Mjane wa mtangazaji Ahmed Darwesh, Hawa Hussein aliponea chupuchupu pale majambazi walipomvamia nyumbani kwake Kitengela, Jijini Nairobi. Mtangazaji wa Radio Kaya atuzwa kwa kutunza utamaduni Mtangazaji wa kituo cha radio cha Radio Kaya Beatrice Dama Kahindi ametunukiwa tuzo ya "Balozi wa Amani na Utamaduni" na muungano wa utamaduni wa wilaya ya Malindi (MADCA). Nyota Ndogo afanya video Copen Hagen Msanii Nyota Ndogo amekuwa kimya kwa muda mrefu katika tasnia ya mziki humu nchini lakini kama wasemavyo kimya Kingi kina mshindo. Susumila achoshwa na nchi yake Msanii Susumila amekiri kuchoshwa na taifa lake, Kenya kufuatia ufisadi uliokithiri kwa sasa. Nilianza kwa kucheza "firimbi"- Mzee Ngala Siku zote wanasema mwanzo wa kitu ndio mgumu zaidi. Nayo safari ya mziki yaJosepg Ngala maarufu kama Mzee Ngala Mwenyewe haikuwa rahisi kama wengi wanavyodhania. Mama apata Kipande cha nyama kilicho na maandishi ya Quran Kwale Familia moja katika mtaa wa Kwa Karanja mjini Kwale imepigwa na butwaa baada ya kupata kipande cha nyama kilicho na maandishi ya Quran. Aliyejigamba kwa unajisi atiwa mbaroni Mwanamume aliyetanda katika mitandao ya kijamii kwa kusambaza picha za wasichana wadogo akijigamba kuwanajisi hatimaye amekamatwa. PICHA: JOHO AKUTANA NA MOI Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho mapema leo amekutana na rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi nyumbani kwake Kabarak, Nakuru. AKOTHEE KUACHA MZIKI Msanii Esther Akoth maarufu kama Akothee ameweka bayana kuwa atawacha mziki kwa muda. Video: Kaa la moto msafiri https://www.youtube.com/watch?v=SEpWcGF3iLo Mume auma mdomo wa mkewe Picha / kwa hisani. Polisi katika eneo la kisauni wanamtafuta mwanamume mmoja aliyemuuma na kumkata mdomo mkewe. Shetani!! Bawazir awacha wengi kinywa wazi Msanii Bawazir amewaacha wengi na alama a mshango baada ya kuachilia video ya wimbo Yebaye. Nyota Ndogo atafuta wachezaji ala za mziki Chipukizi Msanii tajika Nyota Ndogo ametangaza rasmi kuwa anatafuta wachezaji vyombo chipukizi. Kulingana na msanii huyo anatafuta wasanii watatu. Studio mashinani yatafuta producer Mradi wa studio mashinani ulioanzishwa kwa madhumuni ya kuwasaidia wasani kutoka kanda ya Pwani unatafuta watayarishaji wa mziki. Ally B aendeleza vikao vya amani Mombasa Ali Khamis maarufu kama Ally-B amewasihi Vijana wa Kaunti ya Mombasa kujitenga na magenge ya kihalifu. Mastar Kimbo atumia kipaji kuhamasisha jamii kuhusu HIV Mastar Kimbo sio mgeni kwa wengi, ni msanii anayejulikana kwa mziki aina ya Rap. Wanaoendelea kuonyesha filamu ya Rafiki kuchukuliwa hatua za kisheria Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya filamu nchini Ezekiel Mutua amewaonya watakaoendelea kuonyesha filamu ya Rafiki iliyopigwa marufuku na bodi hiyo kuwa watakabiliwa kisheria. Nyota Ndogo amshauri mwanawe kutumia kondomu Msanii Nyota Ndogo sio mgeni katika kusema ukweli wa jinsi ulivyo. Katika hulka yake hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram amempa msomo mwanawe wa kiume kwa jina Mbaruk. Dogo Richie aachia nyimbo mpya Kwa mara nyingine tena msanii Dogo Richie amedondosha kibao kipya. Katika wimbo huu Richie anamlenga mtu aliyeolewa na anamwahidi kuwa hawatotengana milele. Sina tatizo na Lava Lava - Dogo Richie Msanii Dogo Richie amesema kuwa hana tatizo na wimbo wa Lava Lava ambao umeonekena kuiga wimbo wake. Bado wasanii wa kike hudhulumiwa afichua muigizaji Muigizaji Aisha Said maarufu kwa jina Maya kwenye mchezo wa kuigiza wa Maza amefichua kuwa dhulma ya kimapenzi kwa wasanii wa kike inaendelezwa humu nchini. Show ya Lava Lava kuendelea licha ya Bidi Badu kuchomeka Mashabiki wa msanii kutoka label ya Wasafi wamekuwa na wasi wasi kuwa tamasha lake lisingefanyika baada ya mkahawa wa Bidi Badu kuchomoka. Kelechi Africana aachilia wataisoma Namba Msanii Kelechi Africana amevunja kimya chake kwa kuachilia kibao kipywa kwa jina Wataisoma Namba. Ilianza na Dogo Richie, Lavalava na sasa ni Masauti Wakati Lava L ava alipoachilia kibao kwa jina Go Gaga wengi walisema kuwa aliiba wazo kutoka kwa msanii Dogo Richie aliyetangulia kuachia wimbo kwa jina hilo. IMEFICHUKA ! Susumila kufanya kolabo na Mwana FA Msanii Yusuf Kombo maarufu kama Susumila anapanga kuachilia kolabo mpya na Mwana FA. Alichofanya Wema sio kitu kizuri - Dogo Richie Msanii Dogo Richie amefunguka kuhusu picha chafu zilizovujishwa mtandaoni za Wema Sepetu. Richie amesema kuwa kitendo hicho kinaonekana kuwa kama ambaye kilipangwa.