Picha kwa hisani –
Rais wa Marekani anayeondoka Donald Trump, amewahutubia wamarekani katika eneo la Joint Base Andrews mjini Maryland kabla ya kuabiri ndege ya Air Force One hadi jiji la Florida kwenye makaazi yake.
Katika hotuba yake kwa Wamarekani, Trump amewashukuru wamarekani kwa kujitolewa kwao kufanyakazi pamoja naye katika kipindi cha miaka minne aliokuwa uongozini.