Oya oya tunatafuta Reggae artist of the year pale www.radiokaya.co.ke
Ingia hapo na udownload hio beat ya ‘THIS IS CRUCIAL Beat (1)’ piga ngoma record na upload hapo.
Mwenye atapata likes nyingi atapata recording deal na Dj Chao na vilevile tunatafuta Reggae Artist Of The Year.
Changamkeni Rasta
Subscribe
Login
0 Comments