Dori ahimiza Wapwani kushirikiana
Mbunge wa Msambweni Suleiman Dori amezitaka jamii za wamijikenda kushirikiana ilikufanikisha masuala mbali mbali ikiwemo maendeleo miongoni mwao.
Mbunge wa Msambweni Suleiman Dori amezitaka jamii za wamijikenda kushirikiana ilikufanikisha masuala mbali mbali ikiwemo maendeleo miongoni mwao.
Gavana wa kaunti ya Kwale Salim Mvurya, amewahimiza vijana wa kaunti hiyo kujitenga na ushawishi unaoweza kuwaingiza kwenye utovu wa nidhamu.
Aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Taita Taveta John Mruttu ametofautiana na baadhi ya viongozi eneo hilo wanaowashauri wakaazi kuzaa kwa wingi ili kuongezeka idadi ya wakaazi eneo hilo.
Wakaazi wa kaunti ya Taita taveta watasalia bila maji safi kwa muda baada ya bomba la kusambaza maji kutoka Chemichemi ya maji ya Mzima kupasuka.
Mwakilishi wa Kike kaunti ya Taita Taveta Lydia Haika amewaonya watu wanaoendeleza dhulma za kijinsia katika kaunti hiyo, akisema watakabiliwa kisheria.
Shirika la kutetea wa haki za binadamu nchini la Haki Africa, limeishtumu vikali Wizara ya fedha kwa kuongeza asilimia 16 kwa bidhaa za mafuta humu nchini.
Picha / kwa hisani.
Polisi katika eneo la kisauni wanamtafuta mwanamume mmoja aliyemuuma na kumkata mdomo mkewe.
Serikali ya kaunti ya Kilifi inapanga kujenga hospitali maalum itakayotumika kutoa tiba ya magonjwa sugu ambayo mara nyingi huwa ghali kama vile saratani.
Tume ya uiano na utangamano wa kitaifa NCIC imeanzisha hamasa kwa vijana wa kaunti ya Kilifi kama njia moja wapo ya kuleta amani na kupiga vita swala la itikadi kali.
Mali ya thamani isiyojulikana imeteketea mapema leo katika jumba moja eneo la sabasaba mjini Mombasa.