Waundaji filamu bandia kukamatwa Mombasa
Bodi ya kudhibiti filamu nchini KFCB imeapa kuwachukulia hatua kali za kisherea watengenezaji filamu ambao hawajaidhinishwa rasmi na bodi hiyo katika ukanda wa Pwani.
Serikali ya kaunti ya Mombasa imehimizwa kuwakabili vikali watu wenye tabia ya kuwatumia walemavu kama kitega uchumi barabarani.