Magoha aapa kukabiliana na waizi wa mtihani October 30, 2018 by Radio Kaya featured, newsafrica, African, Kenya, Kenyan Mwenyekiti wa Baraza kuu la mitihani nchini KNEC George Magoha amesisitiza kuwa atahakikisha mitihani yote ya kitaifa inayoendelea kote nchini inafanyika bila ya udanganyifu wowote. Read More