Magoha aapa kukabiliana na waizi wa mtihani
Mwenyekiti wa Baraza kuu la mitihani nchini KNEC George Magoha amesisitiza kuwa atahakikisha mitihani yote ya kitaifa inayoendelea kote nchini inafanyika bila ya udanganyifu wowote.
Shirika la kutetea haki za binadamu la HURIA limesema kuwa ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana umepelekea wengi wao kujitosa kwenye utumizi wa mihadrati.