Msanii Bawazir amewaacha wengi na alama a mshango baada ya kuachilia video ya wimbo Yebaye.
Katika video hiyo msanii huyo anaonekana katika mazingira ya ushetani.
Katika onyesho la mwanzo anaonekana kama Vampire aneyemnyakua binadamu na kumng’ata shingo. Bado haijabainika kwa nini aliamua kuweka muonekano huo katika video yake.
Tizama video hiyo hapa.