Rubani wa ndege raia wa Afrika kusini amepata majeraha madogo baada ya ndege aliyokuwa akiendesha kupata ajali katika kijiji cha Molemu kaunti ya Kwale.
Rubani huyo alikuwa kwenye safari kutoka milima ya Chyulu akielekea Diani.
Kulingan na Naibu Kamishna wa kaunti ya Kwale Isaac Keter rubani wa ndege ndege hiyo alilazimika kutua ghafla baada ya kupata hitilafu za kimitambo.