Picha Kwa Hisani – Ringtone’s Instagram Account
Mashabiki wamemshambulia msanii wa muziki wa injili nchini Ringtone kwenye mitandao ya kijamii baada Jarida la Forbes kutoa orodha ya wasanii 30 tajiri zaidi barani Afrika.
Wanamitandao wajawa na hasira na kumrushia Ringtone maneno makali baada ya mwanamuziki huyo kudai kuwa yey ndiye msanii tajiri zaidi Afrika ya Mashariki ilhali kwenye orodha hiyo jina lake halipo.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram alioweka madai hayo, watu walijitokeza na kumjibu kwa kumueleza kuwa hawajaliona jina lake kwenye orodha hiyo.
Hii hapa orodha hiyo iliyochapishwa na Jarida la Forbes;
- Youssou N’dour – $145M
- Akon – $80M
- Black Coffee -$60M
- Wizkid – $21M
- Davido – $20M
- Don Jazzy – $18M
- Burna Boy – $17M
- 2 Baba (2Face) – $16.5M
- Rudeboy – $16M
- Timaya – $12M
- Olamide – $12M
- Phyno – $11M
- Dbanj – $11M
- Mr P – $11M
- Akothee – $10M
- Sarkodie – $9M
- Banky W – $9M
- Bobi Wine - $8M
- I – $8M
- Jidenna – $7M
- Flavour N’abania – $7M
- Reminisce – $7M
- Shatte Wale – $6.2M
- Chameleon – $6M
- Okyeame Kwame – $6M
- Tinashe – $6M
- Stonebwoy – $5.6M
- Diamond Platnumz – $5.1M
- Koffi Olomide – $5M
- Becca – $5M