Msanii Alex Apoko maarufu kama Ringtone anazidi kukarangwa katika mitandao ya kijamii baada ya kubainika kuwa kampeni ya kutafuta bibi ambayo amekuwa akiendesha kwa muda ilikuwa ni kiki ya kusukuma wimbo wake mpya.
Picha zilizozagaa mitandaoni zinaonyesha onyesho moja wapo katika wimbo huo ambapo Ringtone amemtumia mlimbwende kutoka Tanzania kwa jina Jacqueline Wolper kama muigizaji.
Inaaminika Wolper ndiye mke anayedai amekuwa akimtafuta kwa muda mrefu kulingana na picha hizo zilizovuja.
Kando na watu kushangazwa na hatua ya Ringtone wengine wamemkashifu kwa kumkosoa Willy Paul mara kwa mara huku naye akionekana kufuata mkondo huo huo.
Hizi ni baadhi ya cheche alizotupiwa Ringtone:
So all this while @ringtoneapoko amekua akituchesa ,just public stunts to get back to the gospel music industry #RingtoneWedsWolper pic.twitter.com/4N2OAVEPr9
— Tariq Al-fayeed (@VenomousM) June 25, 2019
Willy Paul looking at Ringtone's decisions after ame mchomea hiyo time yote 🤣🤣#RingtoneWedsWolper pic.twitter.com/9AXP1PTPOv
— KaziReview (@KaziReview) June 25, 2019
#RingtoneWedsWolper
Wolper: Babe mimi ni mtight😘Ringtone: First night😠pic.twitter.com/Z0DBJ1Taat
— PABLO (@CapelloEdwin) June 25, 2019
Ringtone himselfu cannot see beauty on this Kenyan ladies, goes picking what remains from what kina Diamond platinumz have left after muc chewing.
Ukiachwa usituambie#RingtoneWedsWolper pic.twitter.com/qcbAYtW3ur
— Real_Fionah🇰🇪 (@ItsFionah) June 25, 2019
These are snapshots from Apoko's nxt song where Wolper is a vixen.
Our musicians need better people to handle their PR.
The same Apoko that's been lecturing Willy Paul on standards has realised that tge bible does not pay bills but the Godgiven talent does.#RingtoneWedsWolper pic.twitter.com/9afUuiR59H— Sharon Nduta🔥 (@ShazieKe) June 25, 2019