Huku msimu ukikaribia kutamatika, kuna mechi 10 zilizosalia kuchezwa katika ligi hiyo.
Hadi kufikia sasa timu zitakazopandishwa na kushushwa daraja kutoka ligi hiyo hazijabainika.
Leo Jumapili:
Kisumu Allstars vs Modern Coast Rangers (Moi Stadium 12PM)
Coast Stima vs Kibera Blackstars (Mbaraki Sports Club 3PM)