Story by Janet Shume-
Kituo cha habari cha Radio Kaya kimepokea Tuzo ya kuwa kituo bora cha habari katika masuala ya biashara.
Tuzo hizo ambazo zimedhaminiwa na Shirika la Africapital zililenga kutambua vitengo mbalimbali ambavyo vinafanya vyema katika taaluma mbalimbali.
Hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Mvindeni eneo la Msambweni kaunti ya Kwale.