Q Boy Si mgeni kwawengi. Ni mbunifu katika mavazi na sanaa ya mziki pia. Kabla hajaingia katika mziki na kufanya kazi katika label ya Wasafi, Q Boy alikuwa akifanya kazi ya kinyozi na sasa amerudia kazi hiyo. Je kulikoni?
Akizungumza na Uhondo Q Boy amefichua kwamba kuwa Kinyozi ni moja ya talanta alizonazo na sio ati mziki umemkataa.
Zaidi ya yote amefichua kuwa yeye ni mjarasiliamali na ni sharti apambane na hali ya maisha jinsi ilivyo.