Picha kwa hisani –
Mtayarishi wa muziki wa Bongo Fleva, Abbah alizindua album yake aliyoipa jina la The Evolution ambayo amewakutanisha wasanii kutoka sehemu tofauti za bara la Afrika.
Album hilo inatarajiwa kuzinduliwa mkoani Mwanza tarehe 27 Februari, Malaika Bech Resort Elevate ambapo mashabiki ama wadau wa muziki wataweza kushuhudia uzinduzi wa album hiyo huku burudani ikitolewa na wasanii akiwemo Nandy, Lavalava, Harmonize, Ruby, Meja Kunta, Maua Sama, Juma Jux, Darassa, Mario Mota The Future.