Otile Brown yuko single tena.

Picha Kwa Hisani – Otile Brown na Nabayet. Mwanamuziki Otile Brown ametangaza rasmi kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu kutoka Ethiopia Nabayet, kupitia ukurasa wake wa Instagram.   Picha Kwa Hisani – Nabayet. Wawili hao wamekuwa pamoja katika mahusiano ya umbali tangu mwezi Machi 2019, baada ya Otile kuachana na Vera Sidika. Picha Kwa Hisani – Otile Brown na Nabayet. Otile ameeleza kuwa Nabayet pia maarufu kama Nabbi, alikuwa amewasili nchini ili kuzungumza kuhusu masuala yanayowakabili, lakini haikufaulu vyema. Picha Kwa Hisani … Continue reading Otile Brown yuko single tena.