Msimu wa krisimasi unapobisha hodi tayari wanamziki mbalimbali wameachilia nyimbo zitakazoweka kasi ya kuingia katika shamara shamra hizo.
Nasi tumekupa kazi rahisi ya kuzipata kazi hizo kutoka kwa wasanii wa ukanda wa Pwani. Zifuatazo ni link za ngoma hizo mpya.
CityBoy – Wanajileta
Masauti – Gaga
Chapatizo – Mtee
Kelechi Africana – Wataisoma Namba