Nicki Minaj amempongeza Rihanna kwa kupata ujauzito.
Picha Kwa Hisani. Nicki Minaj amempongeza muimbaji nyota wa muziki wa RnB Rihanna baada ya taarifa kwamba yeye pamoja na mpenzi wake ASAP wanatarajia mtoto wao wa kwanza kusambaa kote ulimwenguni. Jana picha za Rihanna mwenye umri wa miaka 33, zinazoonyesha ujauzito wake zilisambaa kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii huku msanii huyo akitrendi nambari moja kwenye mtandao wa twitter. Picha Kwa Hisani. Katika picha hizo, zilizopigwa jijini New York mwishoni mwa wiki na kuchapishwa Jumatatu, Januari 31, Rihanna anaonekana … Continue reading Nicki Minaj amempongeza Rihanna kwa kupata ujauzito.
0 Comments