News Catch the latest local news and regional news on your favorite Radio Station Cannibal aweka mambo wazi Ralph Sandal Masai maarufu kama Cannibal amekanusha madai kuwa aliokoka ili kusaka pesa katika soko la mziki wa injili. Akothee amsaidia Nyota Ndogo kupata wapangaji Msanii Nyota Ndogo amefichua kuwa Akothee amempa msaada mkubwa katika kutafuta wapangaji wa nyumba zake za kukodi. Kampuni ya Base Titanium kufidia wakaazi Kwale Kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium, imewahakikishia wakaazi wanaoishi kwenye maeneo ambayo kampuni hiyo inanuia kuchimba madini kuwa watafidiwa. Omar Mwinyi kufungwa miaka 4 jela Mahakama ya mjini Mombasa imemhukumu mbunge wa Changamwe Omar Mwinyi kifungo cha miaka minne gerezani baada ya kupatikana na kosa la kuwajeruhi maafisa wa polisi. Viwavi jeshi vya vamia mashamba Majaoni Wakulima wa mahindi katika eneo la Majaoni mjini Kilifi wanahofu ya kukumbwa na baa la njaa baada ya mahindi yao kushambuliwa na mabuu na kuharibiwa. Wakazi wa Kikambala wapinga ujenzi wa ukuta Wakazi wa kijiji cha Mwatundo eneo la Kikambala wameandamana kupinga ujenzi wa ukuta kwenye ardhi ya ekari 35 ambayo wanaizozonia baina yao na bwenyenye mmoja. Viongozi wahimizwa kushauriana kutatua mzozo wa giriama ranch Viongozi wa kisiasa katika eneo la Ganze wametakiwa kushirikiana katika kutatua masaibu ya ardhi. Wakazi waandamana Bamba kupinga uuzaji wa ardhi ya ranchi ya Giriama Wakazi wa Bamba kaunti ndogo ya Ganze wameandamana kupinga uuzaji wa ardhi ya ranchi ya Giriama. Watu 700 kupoteza ajira katika kampuni ya Base Titanium Huenda zaidi ya watu 700 wakapoteza ajira iwapo kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium itasitisha shughuli zake ifikapo mwaka wa 2022. Mbunge wa Magarini aahidi kujenga maktaba na maabara Mbunge wa Magarini kaunti ya Kilifi Michael Thoya Kingi ameahidi ujenzi wa maktaba na maabara katika shule zote za upili ambazo zinakumbwa na changamoto hiyo katika eneo hilo. Utumizi wa mihadarati watatiza masomo Mtwapa Alfred Amin Karisa, Afisa anayesimamia mradi wa tiba ya ‘Methadone’ kwa watumizi wa dawa za kulevya katika Kaunti ya Mombasa. Bandari wairarua Posta Rangers Klabu ya Bandari imeandikisha ushindi 3-1 dhidi ya Posta Rangers katika mechi ya ligi kuu ncini iliyochezwa uga wa Camp Toyoyo, Jumamosi. Mwakilishi wa Kike wa Mombasa ataka sheria za kupeana mkopo zibadilishwe Ni sharti sheria inayosimamia hazina za akina Mama na Vijana humu nchini ipigwe msasa ili kuhakikisha hazina hizo zinawanufaisha walengwa. Wazazi wahimizwa kushirikiana na walimu Magarini Mwakilishi wa wadi ya Magarini kaunti ya Kilifi Elina Mbaru amesema kuna haja ya ushirikiano baina ya wananchi, walimu pamoja na wadau wa sekta ya elimu ili kuboresha sekta hiyo eneo hilo la Magarini. Picha: Safari ya mwisho ya Exale Bandari yaipiga breki Gor Mahia Klabu ya Bandari imedidimiza matumaini ya klabu ya Gor Mahia ya kumaliza msimu bila kushindwa kwa kuilaza mabao 2-1. Wazee 85 wauwawa Kilifi Wazee 85 wameuwawa kwa tuhuma za uchawi katika kaunti ya Kilifi kwenye kipindi cha mwaka mmoja uliopita utafiti uliofanywa na shirika la KECOSE umebaini. Uongozi wa shule iliyofungwa wajitokeza Siku chache tu baada ya Idara ya Elimu gatuzi ndogo la Malindi kuifunga shule ya upili ya Wavulana ya Tahweed, sasa usimamizi wa shule hiyo pamoja na wazazi wamejitokeza na kulaani vikali hatua hiyo. Mwanamume asafiri kutoka Kisii hadi Malindi kwa baiskeli Huku jamii ya mijikenda ikijiandaa kwa sherehe za kumkumbuka na kumuenzi Shujaa Mekatilili wa Menza, wazee wa kaya wamempokea kwa shangwe mwanaume mmoja ambaye ameendesha baiskeli kutoka mjini Kisii hadi Malindi kama ishara ya kumuenzi shujaa huyo. Kwa nini Mzee Majuto alipenda Kenya Kifo cha msanii Amiri Athuman maarufu kama Mzee Majuto kimewaacha wengi na majonzi yasiyokuwa na kipimo. Visa elfu tatu vya dhulma za watoto vya ripotiwa Kilifi Takriban visa 3,000 vya dhulma za watoto vimeripotiwa katika kaunti ya Kilifi kati ya mwezi Juni 2017 na mwezi Juni 2018. Bandari waichapa Tusker Klabu ya Bandari imeendeleza msururu wa ushindi kwa kuilaza Tusker Fc 1-0 kwenye mechi kali iliyochezwa katika uga wa Ruaraka Jijini Nairobi. Coast Stima yapata sare tasa dhidi ya Isibania Coast Stima imetoka sare tasa dhidi ya Isibania kwenye mechi ya ligi ya NSL. Haki Afrika yataka serikali kubomoa nyumba zilizojengwa kwenye ardhi za umma Mombasa Shirika la kutetea haki za binadamu la Haki Afrika limeitaka serikali kuanzisha ubomozi wa nyumba zilizojengwa kwenye ardhi za umma katika kaunti ya Mombasa. Wazazi Kilifi wataka serikali kuangazia watoto wanaoishi na ulemavu Wazazi walio na watoto walemaavu katika maeneo ya Mkomani, Junju, Shauri moyo na Kibaoni kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kupitia idara husika kuwaangazia watoto wanaoishi na ulemavu katika eneo hilo. Kampuni ya Klinker yafungwa Mikindani Serikali ya kaunti ya Mombasa imesitisha shughuli za kampuni moja inayoshughulika na uhifadhi wa bidhaa zinazotumiwa kutengeneza saruji huko Mikindani hadi pale mikakati yote ya kimazingira itakapozingatiwa na kampuni hiyo. Chanzo cha vijana kujihusisha na mihadarati chajulikana Shirika la kutetea haki za binadamu la HURIA limesema kuwa ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana umepelekea wengi wao kujitosa kwenye utumizi wa mihadrati. Mwadime amhimiza Sossion kuwasilisha matatizo ya walimu bungeni Mbunge wa Mwatate Andrew Mwadime amewashinikiza waalimu katika kaunti ya Taita Taveta kuwasilisha changamoto wanazopitia kwa viongozi wao ili zikabiliwe. Familia ya marehemu Ahmed Darwesh yavamiwa Mjane wa mtangazaji Ahmed Darwesh, Hawa Hussein aliponea chupuchupu pale majambazi walipomvamia nyumbani kwake Kitengela, Jijini Nairobi. Mwanamke wa miaka 44 awaomba wahisini kumsaidia kwa matibabu ya Mwanawe Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44 anawaomba wahisani kujitokeza na kumsaidia kuchangisha kima cha shilingi elfu 132 kwa matibabu ya mwanawe wa miezi saba aliyezaliwa na ulemavu wa miguu. Bi Mboko awakosoa waliopokea hongo bungeni Mbunge was Likoni Mishi Mboko ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya baadhi ya viongozi kudaiwa kupokea hongo ili kuitupilia mbali ripoti ya sakata ya sukari gushi iliyowasilishwa bungeni kujadiliwa. Owen Baya apinga usafirishwaji wa malighafi nje ya kaunti ya Kilifi Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amelitaka Bunge la kaunti ya Kilifi kupitisha mswada wa kupiga marufuku usafirishaji wa malighafi katika kaunti hiyo. Viongozi wasusia sherehe za Mekatilili wa Menza Katibu mkuu wa muungano wa utamaduni Malindi, MADCA Joseph Karisa Mwarandu amewasuta vikali baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kilifi kwa kususia sherehe za kumuenzi shujaa Mekatilili wa Menza. Wavuvi wataka maboya kufanyiwa ukarabati Mtangawanda Wadau wa sekta ya uvuvi kanda ya Pwani wameitaka Mamlaka ya Baharini KMA kuyafanyia ukarabati maboya yanayoelekeza usalama wa baharini katika sehemu ya Mtangawanda katika kaunti ya Lamu. Balala awaonya wavamizi wa ardhi ya umma Waziri wa utalii nchini Najib Balala amewaonya wavamizi wa ardhi za fuo kuziregesha mara moja kabla ya kukabiliwa kisheria. Waombolezaji wawapelekea polisi maiti baada ya kukatazwa kucheza disco matanga Kumekuwa na kihoja baada ya waombolezaji katika eneo la Bamba kaunti ndogo ya Ganze kuubeba mwili wa ajuza wa miaka 94 na kuuwacha katika kituo cha polisi cha Bamba kwa zaidi ya masaa manne baada ya maafisa wa polisi kuwakataza kucheza disco. Jumla ya watu 21 wapitia mateso Tana River Jumla ya watu 21 katika Kaunti ya Tana river wamepitia mateso, wakipotezwa na wengine wakiuwawa katika mchakato wa kukabiliana na ugaidi. Daniel Kiptum ashinda Safaricom Deaf Marathon Mwanariadha Daniel Kiptum kutoka kaunti ya Nandi alimpiku bingwa mtetezi wa mbio za 21km kwa wanaume Peter Rotich na kutwaa medali ya dhahabu kwenye makala ya tano ya mbio za Safaricom Deaf Marathon zilizoandaliwa hapo jana jumapili katika kaunti ya Mombasa. Vanga United waibuka mabingwa Timu ya Vanga United kutoka LungaLunga ndiyo mshindi wa mashindano ya Mama Kwale County Tournament iliyofikia katika uga wa shule ya upili ya Mwereni eneo bunge la Lungalunga baada ya kuichapa Lions FC kutoka Kinango bao 1-0 katika mikwaju ya penanti roundi ya pili. Wanaondeleza mauji ya wazee waonywa Wakaazi wa eneo la Magarini kaunti ya Kilifi wanaoendeleza mauaji ya wazee kwa tuhuma za uchawi wameonywa kukomesha uovu huu la sivyo wataandamwa na mkono wa sheria na kuadhibiwa vikali.
Cannibal aweka mambo wazi Ralph Sandal Masai maarufu kama Cannibal amekanusha madai kuwa aliokoka ili kusaka pesa katika soko la mziki wa injili. Akothee amsaidia Nyota Ndogo kupata wapangaji Msanii Nyota Ndogo amefichua kuwa Akothee amempa msaada mkubwa katika kutafuta wapangaji wa nyumba zake za kukodi. Kampuni ya Base Titanium kufidia wakaazi Kwale Kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium, imewahakikishia wakaazi wanaoishi kwenye maeneo ambayo kampuni hiyo inanuia kuchimba madini kuwa watafidiwa. Omar Mwinyi kufungwa miaka 4 jela Mahakama ya mjini Mombasa imemhukumu mbunge wa Changamwe Omar Mwinyi kifungo cha miaka minne gerezani baada ya kupatikana na kosa la kuwajeruhi maafisa wa polisi. Viwavi jeshi vya vamia mashamba Majaoni Wakulima wa mahindi katika eneo la Majaoni mjini Kilifi wanahofu ya kukumbwa na baa la njaa baada ya mahindi yao kushambuliwa na mabuu na kuharibiwa. Wakazi wa Kikambala wapinga ujenzi wa ukuta Wakazi wa kijiji cha Mwatundo eneo la Kikambala wameandamana kupinga ujenzi wa ukuta kwenye ardhi ya ekari 35 ambayo wanaizozonia baina yao na bwenyenye mmoja. Viongozi wahimizwa kushauriana kutatua mzozo wa giriama ranch Viongozi wa kisiasa katika eneo la Ganze wametakiwa kushirikiana katika kutatua masaibu ya ardhi. Wakazi waandamana Bamba kupinga uuzaji wa ardhi ya ranchi ya Giriama Wakazi wa Bamba kaunti ndogo ya Ganze wameandamana kupinga uuzaji wa ardhi ya ranchi ya Giriama. Watu 700 kupoteza ajira katika kampuni ya Base Titanium Huenda zaidi ya watu 700 wakapoteza ajira iwapo kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium itasitisha shughuli zake ifikapo mwaka wa 2022. Mbunge wa Magarini aahidi kujenga maktaba na maabara Mbunge wa Magarini kaunti ya Kilifi Michael Thoya Kingi ameahidi ujenzi wa maktaba na maabara katika shule zote za upili ambazo zinakumbwa na changamoto hiyo katika eneo hilo. Utumizi wa mihadarati watatiza masomo Mtwapa Alfred Amin Karisa, Afisa anayesimamia mradi wa tiba ya ‘Methadone’ kwa watumizi wa dawa za kulevya katika Kaunti ya Mombasa. Bandari wairarua Posta Rangers Klabu ya Bandari imeandikisha ushindi 3-1 dhidi ya Posta Rangers katika mechi ya ligi kuu ncini iliyochezwa uga wa Camp Toyoyo, Jumamosi. Mwakilishi wa Kike wa Mombasa ataka sheria za kupeana mkopo zibadilishwe Ni sharti sheria inayosimamia hazina za akina Mama na Vijana humu nchini ipigwe msasa ili kuhakikisha hazina hizo zinawanufaisha walengwa. Wazazi wahimizwa kushirikiana na walimu Magarini Mwakilishi wa wadi ya Magarini kaunti ya Kilifi Elina Mbaru amesema kuna haja ya ushirikiano baina ya wananchi, walimu pamoja na wadau wa sekta ya elimu ili kuboresha sekta hiyo eneo hilo la Magarini. Picha: Safari ya mwisho ya Exale Bandari yaipiga breki Gor Mahia Klabu ya Bandari imedidimiza matumaini ya klabu ya Gor Mahia ya kumaliza msimu bila kushindwa kwa kuilaza mabao 2-1. Wazee 85 wauwawa Kilifi Wazee 85 wameuwawa kwa tuhuma za uchawi katika kaunti ya Kilifi kwenye kipindi cha mwaka mmoja uliopita utafiti uliofanywa na shirika la KECOSE umebaini. Uongozi wa shule iliyofungwa wajitokeza Siku chache tu baada ya Idara ya Elimu gatuzi ndogo la Malindi kuifunga shule ya upili ya Wavulana ya Tahweed, sasa usimamizi wa shule hiyo pamoja na wazazi wamejitokeza na kulaani vikali hatua hiyo. Mwanamume asafiri kutoka Kisii hadi Malindi kwa baiskeli Huku jamii ya mijikenda ikijiandaa kwa sherehe za kumkumbuka na kumuenzi Shujaa Mekatilili wa Menza, wazee wa kaya wamempokea kwa shangwe mwanaume mmoja ambaye ameendesha baiskeli kutoka mjini Kisii hadi Malindi kama ishara ya kumuenzi shujaa huyo. Kwa nini Mzee Majuto alipenda Kenya Kifo cha msanii Amiri Athuman maarufu kama Mzee Majuto kimewaacha wengi na majonzi yasiyokuwa na kipimo. Visa elfu tatu vya dhulma za watoto vya ripotiwa Kilifi Takriban visa 3,000 vya dhulma za watoto vimeripotiwa katika kaunti ya Kilifi kati ya mwezi Juni 2017 na mwezi Juni 2018. Bandari waichapa Tusker Klabu ya Bandari imeendeleza msururu wa ushindi kwa kuilaza Tusker Fc 1-0 kwenye mechi kali iliyochezwa katika uga wa Ruaraka Jijini Nairobi. Coast Stima yapata sare tasa dhidi ya Isibania Coast Stima imetoka sare tasa dhidi ya Isibania kwenye mechi ya ligi ya NSL. Haki Afrika yataka serikali kubomoa nyumba zilizojengwa kwenye ardhi za umma Mombasa Shirika la kutetea haki za binadamu la Haki Afrika limeitaka serikali kuanzisha ubomozi wa nyumba zilizojengwa kwenye ardhi za umma katika kaunti ya Mombasa. Wazazi Kilifi wataka serikali kuangazia watoto wanaoishi na ulemavu Wazazi walio na watoto walemaavu katika maeneo ya Mkomani, Junju, Shauri moyo na Kibaoni kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kupitia idara husika kuwaangazia watoto wanaoishi na ulemavu katika eneo hilo. Kampuni ya Klinker yafungwa Mikindani Serikali ya kaunti ya Mombasa imesitisha shughuli za kampuni moja inayoshughulika na uhifadhi wa bidhaa zinazotumiwa kutengeneza saruji huko Mikindani hadi pale mikakati yote ya kimazingira itakapozingatiwa na kampuni hiyo. Chanzo cha vijana kujihusisha na mihadarati chajulikana Shirika la kutetea haki za binadamu la HURIA limesema kuwa ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana umepelekea wengi wao kujitosa kwenye utumizi wa mihadrati. Mwadime amhimiza Sossion kuwasilisha matatizo ya walimu bungeni Mbunge wa Mwatate Andrew Mwadime amewashinikiza waalimu katika kaunti ya Taita Taveta kuwasilisha changamoto wanazopitia kwa viongozi wao ili zikabiliwe. Familia ya marehemu Ahmed Darwesh yavamiwa Mjane wa mtangazaji Ahmed Darwesh, Hawa Hussein aliponea chupuchupu pale majambazi walipomvamia nyumbani kwake Kitengela, Jijini Nairobi. Mwanamke wa miaka 44 awaomba wahisini kumsaidia kwa matibabu ya Mwanawe Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44 anawaomba wahisani kujitokeza na kumsaidia kuchangisha kima cha shilingi elfu 132 kwa matibabu ya mwanawe wa miezi saba aliyezaliwa na ulemavu wa miguu. Bi Mboko awakosoa waliopokea hongo bungeni Mbunge was Likoni Mishi Mboko ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya baadhi ya viongozi kudaiwa kupokea hongo ili kuitupilia mbali ripoti ya sakata ya sukari gushi iliyowasilishwa bungeni kujadiliwa. Owen Baya apinga usafirishwaji wa malighafi nje ya kaunti ya Kilifi Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amelitaka Bunge la kaunti ya Kilifi kupitisha mswada wa kupiga marufuku usafirishaji wa malighafi katika kaunti hiyo. Viongozi wasusia sherehe za Mekatilili wa Menza Katibu mkuu wa muungano wa utamaduni Malindi, MADCA Joseph Karisa Mwarandu amewasuta vikali baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kilifi kwa kususia sherehe za kumuenzi shujaa Mekatilili wa Menza. Wavuvi wataka maboya kufanyiwa ukarabati Mtangawanda Wadau wa sekta ya uvuvi kanda ya Pwani wameitaka Mamlaka ya Baharini KMA kuyafanyia ukarabati maboya yanayoelekeza usalama wa baharini katika sehemu ya Mtangawanda katika kaunti ya Lamu. Balala awaonya wavamizi wa ardhi ya umma Waziri wa utalii nchini Najib Balala amewaonya wavamizi wa ardhi za fuo kuziregesha mara moja kabla ya kukabiliwa kisheria. Waombolezaji wawapelekea polisi maiti baada ya kukatazwa kucheza disco matanga Kumekuwa na kihoja baada ya waombolezaji katika eneo la Bamba kaunti ndogo ya Ganze kuubeba mwili wa ajuza wa miaka 94 na kuuwacha katika kituo cha polisi cha Bamba kwa zaidi ya masaa manne baada ya maafisa wa polisi kuwakataza kucheza disco. Jumla ya watu 21 wapitia mateso Tana River Jumla ya watu 21 katika Kaunti ya Tana river wamepitia mateso, wakipotezwa na wengine wakiuwawa katika mchakato wa kukabiliana na ugaidi. Daniel Kiptum ashinda Safaricom Deaf Marathon Mwanariadha Daniel Kiptum kutoka kaunti ya Nandi alimpiku bingwa mtetezi wa mbio za 21km kwa wanaume Peter Rotich na kutwaa medali ya dhahabu kwenye makala ya tano ya mbio za Safaricom Deaf Marathon zilizoandaliwa hapo jana jumapili katika kaunti ya Mombasa. Vanga United waibuka mabingwa Timu ya Vanga United kutoka LungaLunga ndiyo mshindi wa mashindano ya Mama Kwale County Tournament iliyofikia katika uga wa shule ya upili ya Mwereni eneo bunge la Lungalunga baada ya kuichapa Lions FC kutoka Kinango bao 1-0 katika mikwaju ya penanti roundi ya pili. Wanaondeleza mauji ya wazee waonywa Wakaazi wa eneo la Magarini kaunti ya Kilifi wanaoendeleza mauaji ya wazee kwa tuhuma za uchawi wameonywa kukomesha uovu huu la sivyo wataandamwa na mkono wa sheria na kuadhibiwa vikali.