Mtu mmoja anahofiwa kufariki baada ya kupigwa risasi na dereva wa Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa baada ya vurumai kutokea katika mkutano wa maajenti wa mgombea wa kiti cha wadi ya Ganda Reuben Mwamure Katana.
Kulingana na vyanzo vya habari vilivyo karibu na mgombea huyo ni kuwa Aisha, aliwasili katika mkutano huo na maofisaa wa polisi hali iliyopelekea kuibuka kwa vurumai hiyo.
Inaarifiwa kuwa aliyepigwa risasi hiyo ni babake mdogo Mwamure.
Taarifa zaidi kufuata…
Nakupata online nikiwa Migombani Likoni.