Picha kwa hisani –
Mshindi wa tuzo la wasanii na mke wa mawamuziki maarufu Akon kutoka marekani, Bi Rosina Negusei, amekutana na raisi wa Uganda Yoweri Museveni kwa ajili ya kusaidia kukuza sanaa ya muziki na fashion na kuwekeza dolla milioni 12 kwenye tasnia hiyo.