Taarifa na Rasi Mangale
Kwale , Kenya, Mei 24 – Michezo ya shule za upili kwa muhula wapili zimeanza huku Zone Ya Tsimba Golini michuano hiyo ikifanyakika katika shule ya upili ya mabweni ya wabvulana ya Kwale
Wa kina dada wa Kwale wameanza vyema kwa kuwanyeshea Mwamgunga Girls mabao 16-0 kwenye mechi yao ya kwanza.
Kulingana na Nohodha wa klabu ya Kwale Milka Omondi amesema lengo lao ni kwenda hadi ngazi ya kitaifa msimu huu:
Wavulana chni ya umri wa miaka 16,
Kwale high 4-0 Golini.
Kwenye soka wavulana wasiozidi umri wa miaka 19 ,
Mechi ya kwanza Golini 0-0 Tsimba
Mechi ya pili St. Marys 1-1 Jororoni.
Upande wa wasichana kwa umri usiozidi 19
Kwale girls 16-0 Mwamgunga
Tsimba 0-0 Golini
Golini 0- 11 Kwale
Mwamgunga 0-0 Tsimba
Upande wa Volibali kwa wavulana
Kwale wamewalima Tsimba seti tatu kavu ikiwa ni 25-13,25-16,25-22.
Kwale wakarudi tena na kuwtandika Golini seti tatu bila ,kwa 27-25, 25-19 ,25- 22
Nao golini wakawapiga Tsimba seti atu bila jawabu ,ikiwa ni 25-18, 25-20 ,25-16
Voliboli kwa kina dada
Kwale ikaicharaza Tsimba seti 3-0., 25-8, 25-9 ,25-10,
Golini wakatoa kijasho Mwamgunga seti tatu kavu , 25-10,25-8 ,25-10
Golini wanatamba tena kwa kuilaza Tsimba seti tatu bila ,25-3, 25-8, 25-6
Nao vipusa wa Kwale wakawaduwaza wenzao wa Mwamgunga kwa kuwalima seti tatu kwa sufuri,25-3, 25-4,25-5.
Kwenye netboli; Kwale gilrs wakawatitiga Golini mabao 25-15, Kwale wakapiga Tsimaba mabao 45-1, Huku Golini wakawanyeshea Tsimba mabao 38-1.
Mechezo hiyo inatendelea hapo kesho.