Mbunge wa Msambweni Suleiman Dori amefariki.
Dori ameaga dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Aga Khan mjini Mombasa alipokuwa anapokea matibabu.
Mbunge huyo alikimbizwa hospitalini siku ya Jumapili baada ya shinikizo lake la damu mwilini kupanda.