Msanii Rich Mavoko amedokeza kuwa anataka kujitoa uhai.
Msanii huyo aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram: Ni siku ya mwisho ya maisha yangu yaliyobaki…
Jambo hili limezua gumzo kubwa mtandaoni, mashabiki wakimsihi asife moyo.
Mavoko amekuwa na changamoto kimziki tangu aachane na Wasafi.
Taarifa na Dominick Mwambui.