Baada ya mwezi mmoja wa kuwika na kibao Kiboko msanii Masauti amekuwa tena na ujio mpya kwa jina Ipepete.
Kibao hiki amekiachilia huku akiwa ameandikisha historia ya kufikisha views 900,000 kwenye mtandao wa youtube.
Itazame video hiyo hapa.