Baada ya kimya kirefu hatimaye msanii Marlaw amerudi na kibao ambacho kimepokelewa na hisia mseto.
Marlaw ambaye jina lake rasmi ni Lawrence Marima Madole alivuma na kibao Bembeleza.
Kibao chake cha sasa hivi kinafahamika kama Taa.
Kitazame hapa chini halafu utoe hisia zako.