Picha kwa hisani –
Mahakama ya Kwale imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani ama faini ya shilingi elfu 40 mwanamume aliyepatikana na kosa la kutekeleza wizi.
Mahakama imeelezwa kwamba mnamo tarehe 31 mwezi agosti mwaka huu mwanamume huyo kwa jina Maalimu Munga Ndagwa na wenzake ambao hawakua mahakamani waliiba mbuzi yenye thamani ya elfu nne katika kijiji cja Miastani,mwaluphamba kaunti ya Kwale.
Akiwa Mbele ya hakimu Joe Omido mshitakiwa amekubali shataka hilo na kupewa hukumu hio.
Mshatakiwa amepewa siku 14 za kukata rufaa dhidi ya umuazi huo.