Viongozi wa ukanda wa Pwani wamewaonya maafisa wanaohusika na ukandamizaji wakati wa na ugavi wa ardhi.
Wakiongozwa na mbunge wa Lunga Lunga Khatib Mwashetani viongozi wamehoji kuwa watawachukulia hatua maafisa hao kwani hujigawia vipande vikubwa vya ardhi kuliko wakaazi wenyenye hali wanayoitaja kama unyanyasaji.
Wameitaka tume ya kitaifa ya ardhi kuwachunguza na kuwachukulia hatua wanaoendeleza dhulma hio ili kuona kwamba unyakuzi na mizozo ya ardhi inakomeshwa.
Taarifa na Hussein Mdune.