Leo ikiwa mwanzo wa mwaka 2019, msanii Lady Hekma ameanza kwa kishindo.
Msanii huyu aliyevuma hapo kitambo na magoma ya kidunia sasa amebadilisha ukurasa.
Hekma ambaye pia ni mchungaji amejitosa mzima mzima ndani ya nyimbo za injili lakini mtindo wa rap.
Ngoma yake mpya inajulikana kama Dunda na Yesu. Itazame hapa