Picha kwa hisani –
Kwa mara ya kwanza wasanii wa kundi la CSM Wazito wapata fursa kutumbuiza katika tamasha la kibinafsi la ( Maria Mombasa and Kilifi ) lililoandaliwa na Jiffy Pictures.
Wakali hao wa foko ndio wasanii pekee kutoka mkoa wa Pwani ambao waliweza kutumbuiza katika tamasha hilo lililofanyika kwanzia tarehe 29, Februari hadi siku ya juzi.