Msanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka kanda ya Pwani Kevz Ally amethibitisha kuwa sasa yeye ni mtu wa familia baada ya kupata mtoto.
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Facebook, Kevz Ally amefichua kuwa kwa sasa yeye ni baba na mume anayejivunia majukumu mapya.
Kevz Ally ameambatanisha na picha ya mkewe na mtoto wake mchanga.