Ikiwa ni siku mbili tu baada ya mwaka 2020 kuanza msanii Kelechi Africana amejipata midomoni mwa mashabiki wa mziki.
Msanii huyo ameangusha gumzo baada ya kuachilia kibao kipya kwa jina Chapa.
Katika gumzo hilo mashabiki wake wamedai kwamba yeye ni bora kuliko mkali wa Bongo Fleva na mkuu wa label ya Wasafi Diamond Platinumz.
Itazame ngoma ya Kelechi hapa halafu utupe usemi wako. Je Kelechi ni msanii bora ambaye amepewa nafasi ndogo?
Je upo na stori ungependa tuiangazie kwenye uhondo?
Wasiliana na Dominick Mwambui kupitia 0729663424.
His music for sure it’s something else men…this dude has big potentials apewe respect na support he will be far