Msanii Jovial amefunguka na kueleza kwa nini aliachana na Otile Brown.
Kulingana na msaniii yule ni kuwa kulikuwa na utofauti baina ya Otile naye.
“Tulikuwa hatujaelewana kikazi kulingana na mkataba. Otile ndiye alisitisha mkataba lakini ukweli ni kuwa siwezi kulizungumzia swala hili kwa kuwa yote yalikuwa katika mkataba na ni jambo la kutowekwa wazi,” amesema Jovial.
Vilevile amefihua kuwa kwa muda mfupi aliokuwa chini ya Otile Brown alikuwa anapata negativity kubwa ambayo ilikuwa haimjengi kama msanii.