Msanii Jah Cure yupo humu nchini.
Msanii huyo aliingia siku ya jumatano na atakuwa kitumbiza mashabiki wake katika tamasha la Umoja Splash festival terehe 6 mwezi huu wa Julai.
Jah Cure anafahamika na wengi kwa kibao chake alichomshirikisha Phyllisia kwa jina Call on me.