Picha Kwa Hisani – Irene Uwoya.
Msanii wa Bongo movie Irene Uwoya amewajibu mashabiki wake wanaopenda kumuuliza sababu zake za kuwa na marafiki wa kiume pekee.
Picha Kwa Hisani – Irene Uwoya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Uwoya ameandika, “Watu wanauliza sina marafiki wa kike?kiukweli asilimia 90 ya marafiki zangu ni wanaume sababu wamenyooka sanaaa ukikosea wanakuchana ukifanya powa wanakupongeza na ukifanikiwa wanakunjua na kufurahia mafanikio yako kama Yao,ila wakike anakuchekea machoni huku moyoni mwake anakutakia hata kifo.