Msanii Yusuf Kombo maarufu kama Susumila anapanga kuachilia kolabo mpya na Mwana FA.
Hili limefichuliwa na Kaa La Moto. Kulingana na Kaa La Moto Susumila na Mwana FA wamefanya remix ya wimbo “Bado Nipo Nipo”
Ufichuzi huo hata hivyo umekera sana Susumila ambaye alikuwa anapanga kuachilia kibao hicho kama mshangao kwa mashabiki wake.
Siku na wakati wa kuachiliwa rasmi kwa kibao hicho bado haipo wazi.
Taarifa na Dominick Mwambui.