Baada ya msukosuko mrefu uliomfanya kukosa heshima mbele ya wengi msanii Nguli kutoka nchini Tanzania TID amerudi na mshindo zaidi ya awali.
Mara hii amemshirikisha Lady Jay Dee ukipenda muite komanda.
Wawili hao wamekuwa wakitrend kwenye youtube kwa kibao chao kipya kwa jina Any More.
Kitazame halafu utueleze kama wameweza au la.