Huenda kuna bifu la chini kwa chini kati ya mwanamuziki P Day Hurricane na Shirko Media inayomilikiwa na producer Shirko.
Hii ni baada ya shabiki wa Pday anayejiita Levy Don pyzor kwenye mitandao ya kijamii kuchapisha ujumbe wenye maneno makali kwenye ukurasa wake wa Facebook dakika chache zilizopita unaosoma hivi….
Hata hivyo bado mwanamuziki huyo anayetamba kwa ngoma yake twende aliomshirikisha susumila na producer Shirko hawaja post chochote kuhusiana na swala hili hadi kufikia sasa.