Picha kwa hisani –
Washindi wa Tuzo za AFRIMMA wa mwaka huu wa 2020 wametangazwa usiku wa kuamkia Leo huku
Master kg ambaye Ni maarufu kwa wimbo ‘Jerusalema’ akishinda jumla ya tuzo 4 ikiwemo tuzo ya msanii bora wa mwaka ( Artist of the Year) kwa mwaka huu 2020.
Wanamuziki kutoka Tanzania walioshinda Tuzo ni Diamond Platnumz ambaye Ameshinda tuzo ya
Msaniii Bora wa kiume Afrika Mashariki (Best Male East Africa), Nandy ambaye Ameshinda tuzo ya
Msanii Bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa) na Zuchu tuzo ya Msanii Bora
Anayechipukia (Best Newcomer).
Hii hapa List ya Washindi Mbalimbali wa Tuzo za AFRIMMA mwaka huu 2020
Best Male West Africa – Rema (Nigeria)
Best Female West Africa – Simi (Nigeria)
Best Male East Africa – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Female East Africa – Nandy (Tanzania)
Best Male Central Africa – Fally Ipupa (Drc)
Best Female Central Africa – Soraia Ramos (Cape Verde)
Best Male Southern Africa – Master Kg (South Africa)
Best Female Southern Africa – Sho Madjozi (South Africa)
Best African Group – Umu Ibiligbo (Nigeria)
Crossing Boundaries With Music Award – Burna Boy (Nigeria)
Best New Act– Zuchu (Tanzania)
Artist Of The Year – Master Kg (South Africa)
Best Gospel Artist – Mercy Chinwo (Nigeria)
Best Live Act – Flavour (Nigeria)
Best Male Rap Act – Nasty C (South Africa)
Best Female Rap Act – Eno Barony (Ghana)
Best Collaboration – Master Kg Ft Nomcebo Zikode & Burna Boy Jerusalema Remix
Song Of The Year – Master Kg Ft Nomcebo Zikode – Jerusalema
Best Video Director – Tg Omori (Nigeria)
Best Dj Africa – Cuppy (Nigeria)
Best African Dj Usa – Fully Focus (Kenya)
Video Of The Year – Gaz Mawete Ft Fally Ipupa
Producer Of The Year – Kabza De Small (South Africa)
Best African Dancer – Poco Lee (Nigeria)
Best Lusophone – Calema (Cape Verde)
Best Francophone – Fally Ipupa (Drc)
Best Radio/Tv Personality – James Onen (Uganda)