Baada ya kuondoka katika lebo ya Wasafi msanii Harmonize amefichua kuwa yupo katika hatua za mwisho mwisho za kuachilia kazi yake mpya chini ya lebo ya Konde Music Worldwide.
Msanii huyo kutoka nchini Tanzania anatarajiwa kuchilia kibao hicho kipya jijini Nairobi.
Kibao hicho kimepewa jina la “Uno”
Subscribe
Login
0 Comments