Picha Kwa Hisani
Serikali ya Kaunti ya Kwale imelikosoa bunge la Kaunti hiyo kwa kupitisha bajeti ya ziada kuchelewa.
Gavana wa Kwale Salim Mvurya amesema fedha hizo hazitamnufaisha mwananchi kwani kulingana na utaratibu uliopoa zitachukua mda mrefu kuanza kutumika.
Mvurya amesema lengo la bajeti hiyo ili kuwa kusaidia wananchi kuweza kupata chakula wakati huu wa janga la Corona lakini wajumbe hao wameeleeza fedha hizo katika sekta zengine.
Kwa upande wake Spika wa bunge la Kaunti hiyo Sammy Ruwa ametetea bunge hilo na kusema kuwa wajumbe wametathmini na kubaini kwamba uboireshaji wa vituo vya afya unafaa kupewa kipambele.