Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania Diamond Platnumz amejitolea kuwalipia kodi ya nyumba familia 500 kwa kipindi cha miezi 3 wakati huu ambapo taifa la Tanzania na ulimwengu kwa jumla unakabiliana na janga la Corona.
#ShidaYakoNiShidaYangu.
#HiliPiaLitapita
#PamojaTutaishindaCorona