Polisi wanapozidi kumtafuta mtuhumiwa wa ugaidi Violet Kemunto Omwoyo tumebaini kuwa Kemunto alikuwa Video Vixen wakati mmoja.
Omwoyo ambaye anaaminika kuhusika katika shambulizi la kigaidi Jijini Nairobi, aliigiza kwenye kibao njoo kwangu kilichotungwa na msanii BT Boy mwaka 2014.
Kwenye wimbo huo Violet anaigiza kama msichana aliyevunjwa moyo na hatimaye akapatana na mwanamume aliyemponya uchungu wa penzi.
Utazame wimbo huo hapa.