Kwenye picha – DvjKyshaku
Swaleh Maitha,Huyu ni yule msee mbaya upande wa Entertainment industry,wengi wanamfahamu kama mfalme wa ma yoyoh. Akiwa kwenye kazi yake,wengi humwita bonge la “mixmaster” yani kwa jinsi anavyoburudisha mashabiki wake.
Kyshaku,aliwahi kushinda tuzo kadhaa na vilevile kusafiri nchi kadhaa ili kujiongeza zaidi katika sanaa hii ya u DJ.
Mwaka uliopita aliweza kuchapa show fulani pale Samburu,chini ya udhamini wa kikosi cha ATL Music,producer Shirko na Radio kaya. Mashabiki walifurahia sana kazi ya vidole vyake anapovicharaza pale kwenye mtambo wa kuchezea mziki, Kijana huyu alikuwa ngori kwa ma dj wengine walioanza show ile,koz alipokuwa jukwaani warembo pamoja na wasee waliokuwa ukumbini walibambika ajab kwa ustadi wake wa hali ya juu.
Baada ya kuwatoa njeve watu wa Samburu,kijana huyu sifa zilijaa kote na kuanza kupata show kila weekend,hali iliyompika zaidi katika tasnia hii.
Baada ya ufanisi huu wote niliamua kumtafuta kijana huyu ili aweze kunifafanulia zaidi kuhusu mafanikio haya ….
Oyaah! Kishaku inakuaje….
Kyshaku – fiti sana mkali….
Oh,yuh …Bro Kishaku, nijuze,siri ni nini mbona kila kona watu wanacheza mixtape zako – siri ni nini?
Kyshaku – oh yah – oh first of all eh banah nasema thanks sana kwa God,koz yeye ndo kanipa huu uwezo joh,pili kwa mafans wangu ju pia wao wanaplay a big part kufanya kila kitu yangu iko on right way….aaaaah kuhusu siri ya kufanya vizuri katika fani hii budah ni hard kidogo koz ( 1 ) lazima ujieshimu na uheshimu mafans ( 2 ) pili ni kuenda na wakati joh ( 3 ) uwe available kwa mitandao na usiwe expee sana kwa wanaokuhitaji ( 4 ) hii ya 4 ndo the most impotant thing yenye ime do niwe unique kwa hii industry, mazee budah,ni venye me mixtape zangu zote huwa najali sana wasanii wa hapa home,I mean wasanii kutoka pwani – koz most of ao ma dj wenye ma big names joh hawatambui wasanii wa hapa home I mean coast region,so mimi nimeamua kukam na mbogi yangu ya kusurport vijanaa wa home,that’s why kila place utaskia mixtape zangu…that’s all budah…
https://www.youtube.com/watch?v=f7YUUuh2WAY
https://www.youtube.com/watch?v=78-dxb1g64k
But b4 nimade hii risto,le me shout out kwa Boss Matoo na viongozi wote wa ATL MUSIC pamoja na SHIRKO MEDIA – ju wamekuwa wakinipush na kunisurport ile fresh tu….May God bless them…….
Waah! Buda umeweza…. Hii story ni interesting banah…wagwan sana DVJ – KYSHAKU254.