
Picha Kwa Hisani – Drake
Rapa kutoka Marekani Drake ameacha kuwafollow Rihanna na A$ap kwa akaunti zao za Instagram baada yao kutangaza kuwa wanatarajia mtoto wao wa kwanza mwaka huu 2022.
Picha Kwa Hisani – Drake
Drake ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Rihanna ame – unfollow wapenzi hao huku wanamitandao wakianza tetesi kwamba amekerwa na Rihanna kubeba ujauzito wa A$ap.

Picha Kwa Hisani – Rihanna na Drake
Siku ya Jumatatu, Rihanna na mpenzi wake walitangaza hadharani kuwa wanatarajia kifungua mimba wao na kuonekana wakiwa na furaha isiyokifani.
Picha Kwa Hisani – ASAP na Rihanna.
Habari hizo za ujauzito wa Rihanna zilizogonga vichwa vya habari kwenye majukwaa yote ya habari.
Picha Kwa Hisani – Rihanna na Drake
Habari za Rihanna zimetrendi kwa siku tatu mtawalia kwenye mtandao wa twitter.